Chimbuko la Uislam
Ili kuweza kufahamu chimbuko halisi la Uislam inafaa kuyafahamu
mazingira ya Uarabuni kabla ya Uislam, mtu aliyeitwa Muhammad na
historia ya mwanzo ya Uislam. Elimu kale (akiolojia), Kurani na Hadithi
vina mengi ya kusimlia ambayo watu wengi wanaweza kuwa hawajui.
1.MAKA KABLA YA MUHAMMAD:
Umeishawahi kujiuliza Maka ilikuwaje kabla Muhammad hajazaliwa?
Yaelekea ilikuwa sehemu ya kuvutia, kwani ilikuwa ni kituo cha biashara,
mahali penye kusanyiko la tamaduni mbalimbali. Palikuwa na wafanya
biashara wenye dini mbalimbali. Watu wa kabila la Kureshi wa Maka
walimwabudu Hubal, Al-ilah na mabinti watatu wa Al- ilah. Mwamba mweusi
kutoka mbinguni uliheshimiwa sana uliwekwa kwenye kona ya kaaba. Kaaba
ilikuwa ni kitovu cha kuabudia miungu/sanamu 360 kwa mujibu wa Bukhari
juzuu ya 3 kitabu cha 43 sura ya 33 na.658 uk. 396 na juzuu ya 5 kitabu
cha 59 sura ya 47 na.583 uk. 406.
Ensaiklopidia ya Uislam
(iliyohaririwa na Eliade) uk.303 na kuendelea inasema, watu, kabla ya
Uislam, waliomba mara 5 wakielekeza nyuso zao Maka na kufunga nusu siku
kwa muda wa mwezi mzima. Wakureshi walifunga siku ya 10 ya
myharram/muharam. hii nayo muhammad aliagiza ifanyike, lakini baadaye
ikawa hiari. (bukhari juzuu ya 5 kitabu cha 58 sura ya 25 na.172
uk.109), pia bukhari juzuu ya 6 kitabu cha 60 sura ya 24 na.31 uk. 25.
Waarabu kabla ya Uislam walifanya hija (Umrah) Maka. Fiqh us-Sunnah
juzuu ya 5 uk.122, na Bukhari juzuu ya 2 kitabu 26 sura ya 33 na.635
uk.371-372 zinasema walidhani kutokufanya ‘Umrah ilikuwa ni moja ya
dhambi kubwa sana duniani. Walipofika Maka waliifunika kaaba kwa nguo ya
Fiqh juzuu ya 5 uk.131, na walikuwa na mwezi mtakatifu uliohitaji
kujitenga na vita kabla ya kuja kwa Uislam (Bukhari juzuu ya 2 kitabu
cha 23 sura ya 96 na.482 uk.273.
2.CHIMBUKO LA NENO "Allah"
Kwa
ujumla: Neno "Allah" ni kifupi cha neno la kiarabu La-ilah, ambalo maana
yake ni "mungu". Wakristo wa kiarabu na wapagani walitumia neno Ilah
kwa maana ya Mungu. Hata Biblia za kiarabu na kiindonesia leo hii
hutumia neno "Allah" kwa maana ya Mungu. Wakati wa nyuma neno
linalofanana na hilo el lilimaanisha "mungu" wa kweli au uongo katika
lugha za mashariki ya kati kama kiugariki, kikaanani na kiebrania. Kabla
ya Muhammad, kaaba jengo lililotunza sanamu 360 liliitwa Beit-Allah, au
"Nyumba ya Allah". Baba yake Muhammad ambaye alifariki kabla ya
Muhammad kuzaliwa, aliitwa Abdullah maana yake, mtumwa wa Mungu. Pia
kabila la Wayahudi liliitwa ‘Abdullah bin Salam kwenye Bukhari juzuu ya 5
kitabu cha 59 sura ya 13 na. 362 uk.241.
Kwa udhahiri: miongoni mwa
sanamu/miungu iliyoabudiwa Maka uliitwa "Allah." Huyu alikuwa mungu
maalum wa kabila la Wakureshi naye alikuwa na mabinti watatu maalum.
Ukilinganisha na nguzo 4 kati ya 5 za Uislam, watu wa Maka kabla ya
Muhammad walifunga kwa pamoja siku moja, walitoa sadaka kwa maskini wao,
walisali wakielekeza nyuso zao Maka, na walifanya hija (‘Umrah) Maka.
Kulikuwa na tofauti nyingi pia, LAKINI INASHANGAZA KUONA TARATIBU
ZILEZILE ZA IBADA ZA KIPAGANI ZA KIKURESHI,NDIZO ZILIZOENDELEZWA KATIKA
UISLAM MPAKA LEO.
Kama ambavyo kifungu hiki kitaonesha, kama ambavyo
mungu maalumu wa kiyunani Zeus alivyotoakana na neno Mungu (theos),
jambo kama hilo limetokea miongoni mwa Waarabu kabla ya Uislam.
3.WANAOMCHA Allah:
Watu wengi wa kale walimwabudu mungu jua na mungu mke mwezi. Waarabu wa
magharibi walikuwa tofauti kwa kumwabudu mungu mwezi na mkewe, mungu
mke jua. Kuna sanamu za kabla ya Uislam za alama yake: mwezi mwandamo.
Sanamu hii inafanana sana na mwezi mwandamo wa wa Waislam wa Shia,
isipokuwa Washia wameongeza nyota ndogo. Wayemen/Sabaeans walikuwa na
mungu mwezi kwa mujibu wa Ensaiklopidia ya Uislamu uk.303. Wakureshi
wanawezakuwa walimpata mungu huyu kutoka kwao.
Allah alikuwa na
mabinti watatu walioitwa Lat, ‘Uzza na Manat. Siku moja "Mtume wa Allah"
aliafiki na kusema katika Quran (Sura 53:19) kuwa maombezi yao
yanapaswa kutumainiwa. Kwa maneno mengine alisema tunapaswa kutumaini
msaada wa miungu hawa watatu.
Wafuasi wa Muhammad walishangazwa kuwa
amesema hivi.. Aya hizi zinajulikana kama "aya za shetani." Inashangaza
kusoma jinsi ambavyo Allah angeweza kuwa na "aya zilizobatiishwa"
katika Sura za 13:39, 16:101; juzuu ya 2:106. Sura 41:37 zinataja kwa
kutokuafiki watu wanaoabudu jua na mwezi.
Kwa muhtasari, Maka wakati
wa Muhammad ulikuwa mji wenye watu toka mataifa mbalimbali. Wasabaiani
(Sabaeans), na kabila la Muhammad yaani Wakureshi waliabudu sanamu mwezi
iliyoitwa Al-ilah au Allah, pamoja na mabinti zake watatu. Kurani
inakataza kuabudu miungu, lakini wanazuoni wa kislam wanakiri kuwa
mwanzoni Muhammad aliweka aya zinazosema kuwa maombezi ya mabinti wa
Allah yanapaswa kutumainiwa.
4.MUHAMMAD ALIOA WAKE 22
Sura 4.3
inasema wanaume wanaweza kuoa wanawake wasiozidi wane, ingawa Sura 33:50
inatoa upekee kwa Muhammad. Kwa mujibu wa mwanazuoni mmoja wa kiislam
Ali Dashti, wafuatao hapa chini ni wake na Masuria wa Muhammad.
1.
Khadija b. Khuwailid (alikufa kwanza) 13. Asma wa Saba 2. Sawda/Sauda
bint Zam’a 14. Zaynab wa Khozayma 3. ‘Aisha/’A’isha/Aesha (umri wa miaka
8-9) 15. Habla 4. Omm/Umm Salama/Salaim 16. Asma wa Noman 5. Hafsa
watumwa/masuria 6. Zaynab/Zainab bint Jahsh 17. Mariam Mkristo 7.
Jowayriya/Juwairiya (mateka) 18. Rayhana
8. Omm/Umm Habiba uhusiano
usiokuwa na uhakika 9. Safiya/Saffiya b. Huyai (mateka) 19. Omm Sharik
10. Maymuna/Maimuna wa Hareth 20. Maimuna 11. Fatima/Fatema (kwa muda
mfupi) 21. Zaynab/Zainab 3rd 12. Hend/Hind (mjane) 22. Khawla
Muhammad alimuoa Safiya baada ya kumchinja mumewe na watu wa kabila la
Banu Quraza (Bukhari juzuu ya 2 kitabu cha 14 sura ya 5 na.68 uk. 35,
Bukhari juzuu ya 4 kitabu cha 52 sura ya 168 baada ya na.280 uk.175 –
176.)
Kulikuwa na pigo Saudi Arabia, kwani wanawake wageni walioenda
huko kama wafanyakazi wa ndani, walilazimishwa kuwa watumwa
wanaotumikishwa kingono (sex slaves). Hata hivyo huwezi kuwashitaki
wanaume wa ki-Saudi wanaofanya unafiki wa jinsi hii. Kwa mujibu wa
tamaduni za dini yao, inarushusiwa kumlazimisha mtumwa wa kike kulala
naye. Tazama Bukhari juzuu ya 3 kitabu cha 34 sura ya 111 na.432 uk.237;
juzuu ya 3 kitabu cha 34 sura ya 113 baada ya na.436 uk.239-240; juzuu
ya 5 kitabu cha 59 sura ya 31 na.459 uk.317; juzuu ya 8 kitabu cha 76
sura ya 3 na.600 uk.391; Sahih Muslim juzuu ya 2 kitabu cha 8 sura ya
560 na.3571 uk.732-733.
Gazeti la London Economist (6 Jan.1990)
liliripoti kuwa Waislam wa Sudan wanawatumikisha wanawake na watoto wa
kabila la Wadinka. Tarehe 4 Mei 1992, toleo maalum la Newsweek
linalohusu utumwa pia liiripoti kuwa Waislam bado wanawatumikisha
Waafrika sawa na gazeti la Austin American Statesman la tarehe 2/2/96.
Jarida la Reader’s Digest la 3/1996 uk.77-81 liliripoti kuwa "Kurudi kwa
aibu kwa utumwa Afrika" ni jambo la ukandamizaji wenye kuvunja moyo.
5.MUHAMMAD ALIVYOJITAJIRISHA KWA KUTEKA MISAFARA
Muhammad pamoja na watu wake waliteka nyara misafara ya wafanya
biashara na wasafiri mbalimbali. Bukhari juzuu ya 3 kitabu cha 37 sura
ya 8 na.495 uk.280 inasema "wakati Allah alipomfanya mtume kuwa tajiri
kutokanana na ushindi" 1/5 ya mateka ya vita iliwekwa katika hazina na
Sahih Muslim juzuu ya 2 kitabu cha 5 sura ya 401 na.2348 uk.519 inasema
familia ya Muhammad ilikuwa na hisa ndani yake. Utekaji nyara wa mali za
watu wa kwanza kufanywa na Waislam ulijulikana kama Nakha la Raid.
Wakati wa mwezi wa kusimamisha vita kwa muda, wafuasi wake
waliushambulia msafara kwa kuuvamia na kuua mtu mmoja, na kuwafanya watu
waliosalia kuwa watumwa, na kuchukua nyara. Muhammad mwenyewe aliongoza
uvamizi wa pili pale Badr. Muhammad aliongeza utajiri wake kwa
kuyashambulia makazi ya Wayahudi ya Khaibr. Yeye na wafuasi waliokuwa
waaminifu kwake walijitwalia nyara na wake (Je Muhammad alihitaji mke
mwingine?) wa Wayahudi wanaume 700-1000 wa kabila la Banu Quraiza
waliowakata vichwa baada ya kujisalimisha.
6.MUHAMMAD ALIVYOKUWA MTENDA MAOVU
Wakati Biblia inasema Yesu alikuwa hana dhambi, hivi ndivyo Kuran na
Bukhari Hadith zinavyosema kuhusu Muhammad. Katika sura 40:55 na 48:1-2,
Allah anamwambia Muhammad kuomba msamaha kwa ajili ya dhambi zake (au
udhaifu wake). Sasa, watu hawahitaji msamaha kwa ajili ya madhaifu ya
miili bali maadili. Sahih Muslim juzuu ya 1 kitabu cha 4 sura ya 268
na.1695 uk.373 inasema Muhammad aliomba, "Nilijikosea mwenyewe na
kufanya toba ya dhambi zangu. Nisamehe dhambi zangu . . ." Bukhari juzuu
ya 1 kitabu cha 2 sura ya 13 na.19 uk.23; juzuu ya 1.12.57 na.781
uk.434; juzuu ya 6.60.3 na.3 uk.4; juzuu ya 8.75.3 na.319 uk.213; na
juzuu ya 8.75.62 kabla ya na.407 uk.271 kabla ya kueleza dhambi za
Muhammad. Mambo bayana yaliyoelezwa kwenye Bukhari juzuu ya 1.4.70
na.234 uk.148; Bukhari juzuu ya 8.82.1 na.794-795 uk.520 ni kukata watu
mikono na miguu, kuchoma macho yao, na kuwanyima maji hadi kufa baada ya
kukatwa miguu na mikono. Angalia Bukhari juzuu ya 8.82.3 na.796 sura ya
4 uk.797; Bukhari juzuu ya 6 sura ya 150 kabla ya na.198 uk.158-159 pia
Fiqh us-Sunnah juzuu ya 1 uk.133.
Bila shaka utakubali kwamba hizi
ni dhambi nzito sana. Kwa vile Muhammad alifanya hivi, alihitaji sana
msamaha. Swali la kidadisi ni hili: "Ni nani hasa anayelipa gharama ya
dhambi zako?" Yesu alisema alilipa fidia ya dhambi zetu. Uislam
haufundishi kuwa kuna mtu yeyote aliyelipa gharama. Je, dhambi zako
zinalipwaje, au Allah anazifumbia macho baadhi ya dhambi na kuadhibu
nyingine?? Watu wengine wanaweza kufikiri kuwa uovu hauna madhara yoyote
ili mradi mtu anajiita Muislam. Katika karne hii Waislam wanawaua
wakiristo na kufanya mauaji ya kinyama kwenye vijiji vyao katika nchi za
Sudan, Nigeria na Indonesia. Wakati watu walioitwa wakristo waliwaua
Waislam, watu walisema kuwa wanafanya kinyume cha tabia ya Kristo.
Wakati Waislam wanawaua Wakristo, wanaomwabudu Mungu wa kweli, sijawahi
kusikia mtu yeyote akisema wanafanya kinyume cha tabia ya Muhammad.
Ni haki kusema kuwa, mauaji ya watu wanaomwabudu Mungu yanayofanywa na
Waislam lazima yaachwe. Waislam wanapohalalisha mauaji haya kwa sababu
hata mtume wao alifanya hivyo, watu hushangazwa na mtume wao, na Allah
wao ambaye anatengua neno lake, na chimbuko la Uislam.
7.MASWALI YA KUJIULIZA:
1.Je,waislam wanamwabudu mungu mwezi(Allah) bila kujua?
2.Ni mtume gani wa Mungu aliyefanya uovu wa kutisha namna
hiyo:Ubakaji,uharamia,ugaidi,na uovu wa kila namna?
3.Waislam wanasema dini yao ni ya amani,ni amani ipi wakati wanafanya
ugaidi,wanachoma makanisa?
4.Je,waislam wanaelewa hatima yao kiroho?
HII SI DINI YA KWELI,WAISLAM WALIIPOKEA BILA KUIJUA!
3.Waislam wanasema dini yao ni ya amani,ni amani ipi wakati wanafanya
ugaidi,wanachoma makanisa?
4.Je,waislam wanaelewa hatima yao kiroho?
HII SI DINI YA KWELI,WAISLAM WALIIPOKEA BILA KUIJUA!
Yah umejitahidi sana kueleza mapungufu makubwa ya uislam kwa mtazamo wako we we. Umesahau kuwa hata yesu alitumia mate take kuponya MTU upofu. Kuhusu swali lako unalosema Mungu alisahau mini hadi amtume Muhammad s.a.w jibu lake lipo ktika kitabu cha yohana 16:7-16. Mi naenda mstari 12. Hata bado nikali ninayo mengi ya kuwaambia lakini hamwezi kuyastahimili hivi sasa. 13 Lakini yeye atakapokuja huyo roho wa kweli atawaongoza awatie kwenye kweli tote.....endelea hadi mwisho kisha tafakari.
ReplyDelete