JE UMEWAKOSESHA WANGAPI KWA MAVAZI YAKO?
Mungu ndiye mwanzilishi wa mavazi (MWANZO 3:7). Lengo la kuvaa mavazi
ni kuficha uchi (kujisitiri) MWANZO 3:21. Zipo sehemu katika mwili
ambazo zinaitwa sehemu za siri. Binadamu ameumbwa na soni au aibu, kwa
hiyo katika hali ya kawaida hawezi kukubali sehemu zake za siri
zionekane. Mtu akipagawa na mapepo ndipo anaweza kuwa uchi na kwake
likawa ni jambo la kawaida. Tunamuona mtu aliyepagawa na mapepo hadi
yakamfanya kuwa uchi maisha yake yote bila aibu (MARKO 5:1-20). Mtu
akipagawa na mapepo hawi na aibu kamwe (MARKO 5:15). Kwa mfano, katika
huduma za maombezi utaona mapepo yakitaka kufanya mwanamke kukaa uchi na
hii ndo kazi ya kwanza ya mapepo. Na mwanamke huyo hawezi kuona aibu
katika hali hiyo. Ndiyo maana wanatakiwa kuwepo wanawake wenzake wa
kuhakikisha mwanamke mwenzao hakai au hawi uchi.
Viwango vya kutamani (tama) vya mwanamke viko chini kuliko vya mwnaume (MWANZO 3:16). Ndiyo maana mwanaume ndiye
anayetakiwa kumtafuta msaidizi. Mke ni msaidizi, mume amepewa
kumtawala. Siku zote bosi humtafuta msaidizi na siyo msaidizi
anayemtafuta bosi.. Matamanio ya mwanamke wakati mwingine yanahitaji
kuamshwa (WIMBO ULIO BORA 2:7). Biashara ya ukahaba ikifanywa na wanaume
haiwezi kupata wateja kwasababu wanawake matamanio yao yako chini.
(EZEKIELI 16:33-34). Katika mpango wa Mungu sasa, mwanamke anatakiwa
kumlinda mwanaume (YEREMIA 31:22). Kwasababu viwango vya matamanio vya
wanaume viko juu, wanawake wanapaswa kuwalinda wanaume ( wasiwakoseshe
). Wanawake hawapaswi kuvaa mavazi ya kuwakosesha wanaume (MATHAYO
18:6-7). Ukileta jambo la kukosesha na kumkosesha mtu, Yesu anasema
“aletaye jambo la kukosesha atatupwa katika kilindi cha bahari ya moto.
Uchi wa mwanamke unaanzia kwenye goti (magoti) kuelekea juu mpaka kwenye
mifupa ya kifuani maeneo ya shingo. Wakati huu wa kanisa mwanamke
hatakiwi kuwa kama Hawa aliyetumiwa na Shetani kumwangusha mwanaume
Adamu. Wakati wa Yesu, mwanamke ndiye aliyekuwa wa kwanza kumwinua Yesu.
Yafuatayo yasifanywe, vinginevyo hatutakuwa tofauti na makahaba
(MITHALI 7:10).
Kuvaa mavazi yanayoonesha mstari unaotenganisha matiti.
Kuonesha matiti kwa namna yoyote ile,
Kuonesha tumbo na kitovu,
Kuonesha maungo yetu kwa kuvaa nguo zinazobana,
Kuvaa nguo zinazoonesha nguo zetu za ndani (Transparent),
Kuacha mgongo wazi,
Kuvaa taulo kwa wanaume na kuacha tumbo wazi mbele ya wanawake,
Kuacha kifua wazi kwa wanaume,
Wanaume kuvaa bukta mbele ya wanawake,
Kuacha makwapa wazi,
Wanawake kuvaa nguo fupi na zenye mpasuo,
Wanawake wanatakiwa kuvaa mavazi ya kusitiri kabisa mwili wao (1
TIMOTHEO 2;9). Kwa wanaume inakuwa mgogoro mkubwa wanapoona sehemu za
siri za mwanamke.
TUBU NA KUACHA KUANZIA LEO, LA SIVYO UTAKUJA JUTA SIKU ILE YA HUKUMU.
JE UMEWAKOSESHA WANGAPI KWA MAVAZI YAKO?
Mungu ndiye mwanzilishi wa mavazi (MWANZO 3:7). Lengo la kuvaa mavazi ni kuficha uchi (kujisitiri) MWANZO 3:21. Zipo sehemu katika mwili ambazo zinaitwa sehemu za siri. Binadamu ameumbwa na soni au aibu, kwa hiyo katika hali ya kawaida hawezi kukubali sehemu zake za siri zionekane. Mtu akipagawa na mapepo ndipo anaweza kuwa uchi na kwake likawa ni jambo la kawaida. Tunamuona mtu aliyepagawa na mapepo hadi yakamfanya kuwa uchi maisha yake yote bila aibu (MARKO 5:1-20). Mtu akipagawa na mapepo hawi na aibu kamwe (MARKO 5:15). Kwa mfano, katika huduma za maombezi utaona mapepo yakitaka kufanya mwanamke kukaa uchi na hii ndo kazi ya kwanza ya mapepo. Na mwanamke huyo hawezi kuona aibu katika hali hiyo. Ndiyo maana wanatakiwa kuwepo wanawake wenzake wa kuhakikisha mwanamke mwenzao hakai au hawi uchi.
Viwango vya kutamani (tama) vya mwanamke viko chini kuliko vya mwnaume (MWANZO 3:16). Ndiyo maana mwanaume ndiye anayetakiwa kumtafuta msaidizi. Mke ni msaidizi, mume amepewa kumtawala. Siku zote bosi humtafuta msaidizi na siyo msaidizi anayemtafuta bosi.. Matamanio ya mwanamke wakati mwingine yanahitaji kuamshwa (WIMBO ULIO BORA 2:7). Biashara ya ukahaba ikifanywa na wanaume haiwezi kupata wateja kwasababu wanawake matamanio yao yako chini. (EZEKIELI 16:33-34). Katika mpango wa Mungu sasa, mwanamke anatakiwa kumlinda mwanaume (YEREMIA 31:22). Kwasababu viwango vya matamanio vya wanaume viko juu, wanawake wanapaswa kuwalinda wanaume ( wasiwakoseshe ). Wanawake hawapaswi kuvaa mavazi ya kuwakosesha wanaume (MATHAYO 18:6-7). Ukileta jambo la kukosesha na kumkosesha mtu, Yesu anasema “aletaye jambo la kukosesha atatupwa katika kilindi cha bahari ya moto. Uchi wa mwanamke unaanzia kwenye goti (magoti) kuelekea juu mpaka kwenye mifupa ya kifuani maeneo ya shingo. Wakati huu wa kanisa mwanamke hatakiwi kuwa kama Hawa aliyetumiwa na Shetani kumwangusha mwanaume Adamu. Wakati wa Yesu, mwanamke ndiye aliyekuwa wa kwanza kumwinua Yesu. Yafuatayo yasifanywe, vinginevyo hatutakuwa tofauti na makahaba (MITHALI 7:10).
Kuvaa mavazi yanayoonesha mstari unaotenganisha matiti.
Kuonesha matiti kwa namna yoyote ile,
Kuonesha tumbo na kitovu,
Kuonesha maungo yetu kwa kuvaa nguo zinazobana,
Kuvaa nguo zinazoonesha nguo zetu za ndani (Transparent),
Kuacha mgongo wazi,
Kuvaa taulo kwa wanaume na kuacha tumbo wazi mbele ya wanawake,
Kuacha kifua wazi kwa wanaume,
Wanaume kuvaa bukta mbele ya wanawake,
Kuacha makwapa wazi,
Wanawake kuvaa nguo fupi na zenye mpasuo,
Wanawake wanatakiwa kuvaa mavazi ya kusitiri kabisa mwili wao (1 TIMOTHEO 2;9). Kwa wanaume inakuwa mgogoro mkubwa wanapoona sehemu za siri za mwanamke.

No comments:
Post a Comment