Saturday, February 23, 2013

SABABU ZA KWA NINI MASHAHIDI WA YEHOVA NI WAPINGA KRISTO NA WANAABUDU mungu MWINGINE SIO MUNGU WA WAKRISTO.

Emmanuel Boaz
SABABU ZA KWA NINI MASHAHIDI WA YEHOVA NI WAPINGA KRISTO NA WANAABUDU mungu MWINGINE SIO MUNGU WA WAKRISTO.
1.Wanakana kwamba Mungu alifanyika mwili (incarnation) ...kinyume na Yoh 1:14;1Tim 3:16
2.Wanakana Kifo mbadala cha Kristo kwa ondoleo la dhambi(substitutionary atonnement)..kinyume na aya hizi Math 20:28; Mark 10:45.
3.Wanakana fundisho la Utatu Mtakatifu...kinyume na Yoh 1:1-3; 1Yoh 5:8
4.Wanakana Uungu wa Yesu na wanafundisha Yesu ni kiumbe si Muumbaji...kinyume na ya hizi Isaya 9:6; Tito 2:13;Kol 1:16-17; Yoh 1:1-3
5.Wanaamini kuwa wanakazi moja ya kubadili aya zote za Bible ili ziendane na kile wanachodai kuvuviwa!!!Hii ni kinyume na Gal 1:6-9; Uf 22:18,19.
6. Wameunda bodi yao inayofasiri maandiko na mfuasi wao yeyote hatakiwi kupambanua jambo kinyume na tafsiri hizo!! Bodi hiyo inaitwa Watchtower Bible and Tract Society....na Biblia yao inaitwa New world Translation; ama Le monde neauval Tradiction en Francois. Yaani wana injili yao na Biblia yao, Mungu wao!!
7.Wanakana "Umasihi" 'Ukristo" wa Yesu....kwa hiyo hawa ndo wapinga Kristo hasa.1Yoh 4:3 kila roho isiyomkiri Yesu haitokani na Mungu.Hii ndiyo roho ya mpinga Kristo ambayo mmesikia kwamba yaja; na sasa imekwisha kuwako duniani.
8.1Yoh 2:22-23 Ni nani aliye mwongo ila yeye ya kuwa Yesu ni Kristo? Huyo ndiye mpinga Kristo,yeye amkanaye Baba na Mwana.Kila amkanaye Mwana hana Baba; amkiriye Mwana ana Baba.
9.Mungu wa Wakristo anaitwa YHW---Yahwe na mungu wa Mashaidi anaitwa yehovah.Hii siyo proper pronounciation ya YHW ktk Kiebrania.Wao (Mashahisi) wanamkana Yahwe na wanamtambulisha yehovah!! Ni dhahiri kuwa wao wanaabudu mungu mwingine anayeitwa yehovah na ambaye hajawahi kufanyika mwili akaja akakaa pamoja nasi!
NAONA NITAWACHOSHA KUSOMA NIISHIE HAPO; NAWATAKIA SAFARI NJEMA,MIMI MSAFIRI MWENZENU; MUNGU ATUBARIKI SOTE.

3 comments:

  1. Hukumu ipo juu yako mwenyewe unaye toa ushahidi wa uongo juu ya ndugu zako.

    ReplyDelete
  2. Hakika kila mtu atawachukia ninyi sababu co sehemu ya ulimwengu

    ReplyDelete
  3. Yohana 15:17-19
    Soma hapo na jibu utapata mwenyewe

    ReplyDelete