Saturday, February 23, 2013

UKIRO UGONJWA UNAOENEA KWA KASI TANZANIA KULIKO UKIMWI NI HATARI


UKIRO UGONJWA UNAOENEA KWA KASI
   TANZANIA KULIKO UKIMWI NI HATARI
(1)MAANA YA UGONJWA HUU
    Ni ukweli usiopingika kwamba kwa sasa ugonjwa wa UKIRO ndio ugonjwa mbaya zaidi na unaenea kwa kasi kuliko ukimwi kirefu cha ugonjwa huu ni {UPUNGUFU WA KINGA ROHONI}na ndio chanzo hasa cha ugonjwa wa ukimwi
     Ugonjwa wa ukimwi uliingia duniani na male prostitute{SHOGA}Mcheza filamu wa marekani 1983 na hii inatokana na strange flesh desire kama ilivyoandikwa{ isay 29;16 Ninyi mnapindua mambo}
   Pia ni vyema tukafahamu kwamba roho ikikombolewa ndipo na mwili unaokolewa {yoh6;63 roho ndiyo itiayo uzima mwili haufai kitu}
(2)NI UGONJWA USIONATIBA YA KISAYANSI
    Huu ni ugonjwa wa kiroho na kamwe hauwezi kutibiwa na maprofessor umeshawahi kujiuliza kwa nini professor wa afya anaweza kuvuta sigara hii ni kwa sababu{Rum7;14 maana sijui nifanyalo kwa sababu lile nilipendalo silitendi bali nilichukialo ndilo ninalotenda}
(3)JINSI YA KUFANYA
     Ni vyema tukaelewa hatuwezi kujibadili tabia zetu wenyewe;{yer13;23 Chui hawezi kubali madoadoa yake}   Pia{ efes4;5 Bwana mmoja imani moja ubatizo mmoja(maji mengi)}
POTRAYED AND PROPOSED BY ALBERT A MWAKALEBELA THE SERVANT OF JESUS

No comments:

Post a Comment