Chimbuko la Uislam
Chimbuko la Uislam
 Ili kuweza kufahamu chimbuko halisi la Uislam inafaa kuyafahamu 
mazingira ya Uarabuni kabla ya Uislam, mtu aliyeitwa Muhammad na 
historia ya mwanzo ya Uislam. Elimu kale (akiolojia), Kurani na Hadithi 
vina mengi ya kusimlia ambayo watu wengi wanaweza kuwa hawajui.
 1.MAKA KABLA YA MUHAMMAD:
 Umeishawahi kujiuliza Maka ilikuwaje kabla Muhammad hajazaliwa? 
Yaelekea ilikuwa sehemu ya kuvutia, kwani ilikuwa ni kituo cha biashara,
 mahali penye kusanyiko la tamaduni mbalimbali. Palikuwa na wafanya 
biashara wenye dini mbalimbali. Watu wa kabila la Kureshi wa Maka 
walimwabudu Hubal, Al-ilah na mabinti watatu wa Al- ilah. Mwamba mweusi 
kutoka mbinguni uliheshimiwa sana uliwekwa kwenye kona ya kaaba. Kaaba 
ilikuwa ni kitovu cha kuabudia miungu/sanamu 360 kwa mujibu wa Bukhari 
juzuu ya 3 kitabu cha 43 sura ya 33 na.658 uk. 396 na juzuu ya 5 kitabu 
cha 59 sura ya 47 na.583 uk. 406.
 Ensaiklopidia ya Uislam 
(iliyohaririwa na Eliade) uk.303 na kuendelea inasema, watu, kabla ya 
Uislam, waliomba mara 5 wakielekeza nyuso zao Maka na kufunga nusu siku 
kwa muda wa mwezi mzima. Wakureshi walifunga siku ya 10 ya 
myharram/muharam. hii nayo muhammad aliagiza ifanyike, lakini baadaye 
ikawa hiari. (bukhari juzuu ya 5 kitabu cha 58 sura ya 25 na.172 
uk.109), pia bukhari juzuu ya 6 kitabu cha 60 sura ya 24 na.31 uk. 25.
 Waarabu kabla ya Uislam walifanya hija (Umrah) Maka. Fiqh us-Sunnah 
juzuu ya 5 uk.122, na Bukhari juzuu ya 2 kitabu 26 sura ya 33 na.635 
uk.371-372 zinasema walidhani kutokufanya ‘Umrah ilikuwa ni moja ya 
dhambi kubwa sana duniani. Walipofika Maka waliifunika kaaba kwa nguo ya
 Fiqh juzuu ya 5 uk.131, na walikuwa na mwezi mtakatifu uliohitaji 
kujitenga na vita kabla ya kuja kwa Uislam (Bukhari juzuu ya 2 kitabu 
cha 23 sura ya 96 na.482 uk.273.
 2.CHIMBUKO LA NENO "Allah"
 Kwa 
ujumla: Neno "Allah" ni kifupi cha neno la kiarabu La-ilah, ambalo maana
 yake ni "mungu". Wakristo wa kiarabu na wapagani walitumia neno Ilah 
kwa maana ya Mungu. Hata Biblia za kiarabu na kiindonesia leo hii 
hutumia neno "Allah" kwa maana ya Mungu. Wakati wa nyuma neno 
linalofanana na hilo el lilimaanisha "mungu" wa kweli au uongo katika 
lugha za mashariki ya kati kama kiugariki, kikaanani na kiebrania. Kabla
 ya Muhammad, kaaba jengo lililotunza sanamu 360 liliitwa Beit-Allah, au
 "Nyumba ya Allah". Baba yake Muhammad ambaye alifariki kabla ya 
Muhammad kuzaliwa, aliitwa Abdullah maana yake, mtumwa wa Mungu. Pia 
kabila la Wayahudi liliitwa ‘Abdullah bin Salam kwenye Bukhari juzuu ya 5
 kitabu cha 59 sura ya 13 na. 362 uk.241.
 Kwa udhahiri: miongoni mwa
 sanamu/miungu iliyoabudiwa Maka uliitwa "Allah." Huyu alikuwa mungu 
maalum wa kabila la Wakureshi naye alikuwa na mabinti watatu maalum. 
Ukilinganisha na nguzo 4 kati ya 5 za Uislam, watu wa Maka kabla ya 
Muhammad walifunga kwa pamoja siku moja, walitoa sadaka kwa maskini wao,
 walisali wakielekeza nyuso zao Maka, na walifanya hija (‘Umrah) Maka. 
Kulikuwa na tofauti nyingi pia, LAKINI INASHANGAZA KUONA TARATIBU 
ZILEZILE ZA IBADA ZA KIPAGANI ZA KIKURESHI,NDIZO ZILIZOENDELEZWA KATIKA 
UISLAM MPAKA LEO.
 Kama ambavyo kifungu hiki kitaonesha, kama ambavyo
 mungu maalumu wa kiyunani Zeus alivyotoakana na neno Mungu (theos), 
jambo kama hilo limetokea miongoni mwa Waarabu kabla ya Uislam.
 3.WANAOMCHA Allah:
 Watu wengi wa kale walimwabudu mungu jua na mungu mke mwezi. Waarabu wa
 magharibi walikuwa tofauti kwa kumwabudu mungu mwezi na mkewe, mungu 
mke jua. Kuna sanamu za kabla ya Uislam za alama yake: mwezi mwandamo. 
Sanamu hii inafanana sana na mwezi mwandamo wa wa Waislam wa Shia, 
isipokuwa Washia wameongeza nyota ndogo. Wayemen/Sabaeans walikuwa na 
mungu mwezi kwa mujibu wa Ensaiklopidia ya Uislamu uk.303. Wakureshi 
wanawezakuwa walimpata mungu huyu kutoka kwao.
 Allah alikuwa na 
mabinti watatu walioitwa Lat, ‘Uzza na Manat. Siku moja "Mtume wa Allah"
 aliafiki na kusema katika Quran (Sura 53:19) kuwa maombezi yao 
yanapaswa kutumainiwa. Kwa maneno mengine alisema tunapaswa kutumaini 
msaada wa miungu hawa watatu.
 Wafuasi wa Muhammad walishangazwa kuwa
 amesema hivi.. Aya hizi zinajulikana kama "aya za shetani." Inashangaza
 kusoma jinsi ambavyo Allah angeweza kuwa na "aya zilizobatiishwa" 
katika Sura za 13:39, 16:101; juzuu ya 2:106. Sura 41:37 zinataja kwa 
kutokuafiki watu wanaoabudu jua na mwezi.
 Kwa muhtasari, Maka wakati
 wa Muhammad ulikuwa mji wenye watu toka mataifa mbalimbali. Wasabaiani 
(Sabaeans), na kabila la Muhammad yaani Wakureshi waliabudu sanamu mwezi
 iliyoitwa Al-ilah au Allah, pamoja na mabinti zake watatu. Kurani 
inakataza kuabudu miungu, lakini wanazuoni wa kislam wanakiri kuwa 
mwanzoni Muhammad aliweka aya zinazosema kuwa maombezi ya mabinti wa 
Allah yanapaswa kutumainiwa.
 4.MUHAMMAD ALIOA WAKE 22
 Sura 4.3 
inasema wanaume wanaweza kuoa wanawake wasiozidi wane, ingawa Sura 33:50
 inatoa upekee kwa Muhammad. Kwa mujibu wa mwanazuoni mmoja wa kiislam 
Ali Dashti, wafuatao hapa chini ni wake na Masuria wa Muhammad.
 1. 
Khadija b. Khuwailid (alikufa kwanza) 13. Asma wa Saba 2. Sawda/Sauda 
bint Zam’a 14. Zaynab wa Khozayma 3. ‘Aisha/’A’isha/Aesha (umri wa miaka
 8-9) 15. Habla 4. Omm/Umm Salama/Salaim 16. Asma wa Noman 5. Hafsa 
watumwa/masuria 6. Zaynab/Zainab bint Jahsh 17. Mariam Mkristo 7. 
Jowayriya/Juwairiya (mateka) 18. Rayhana
 8. Omm/Umm Habiba uhusiano 
usiokuwa na uhakika 9. Safiya/Saffiya b. Huyai (mateka) 19. Omm Sharik 
10. Maymuna/Maimuna wa Hareth 20. Maimuna 11. Fatima/Fatema (kwa muda 
mfupi) 21. Zaynab/Zainab 3rd 12. Hend/Hind (mjane) 22. Khawla
 
Muhammad alimuoa Safiya baada ya kumchinja mumewe na watu wa kabila la 
Banu Quraza (Bukhari juzuu ya 2 kitabu cha 14 sura ya 5 na.68 uk. 35, 
Bukhari juzuu ya 4 kitabu cha 52 sura ya 168 baada ya na.280 uk.175 – 
176.)
 Kulikuwa na pigo Saudi Arabia, kwani wanawake wageni walioenda
 huko kama wafanyakazi wa ndani, walilazimishwa kuwa watumwa 
wanaotumikishwa kingono (sex slaves). Hata hivyo huwezi kuwashitaki 
wanaume wa ki-Saudi wanaofanya unafiki wa jinsi hii. Kwa mujibu wa 
tamaduni za dini yao, inarushusiwa kumlazimisha mtumwa wa kike kulala 
naye. Tazama Bukhari juzuu ya 3 kitabu cha 34 sura ya 111 na.432 uk.237;
 juzuu ya 3 kitabu cha 34 sura ya 113 baada ya na.436 uk.239-240; juzuu 
ya 5 kitabu cha 59 sura ya 31 na.459 uk.317; juzuu ya 8 kitabu cha 76 
sura ya 3 na.600 uk.391; Sahih Muslim juzuu ya 2 kitabu cha 8 sura ya 
560 na.3571 uk.732-733.
 Gazeti la London Economist (6 Jan.1990) 
liliripoti kuwa Waislam wa Sudan wanawatumikisha wanawake na watoto wa 
kabila la Wadinka. Tarehe 4 Mei 1992, toleo maalum la Newsweek 
linalohusu utumwa pia liiripoti kuwa Waislam bado wanawatumikisha 
Waafrika sawa na gazeti la Austin American Statesman la tarehe 2/2/96. 
Jarida la Reader’s Digest la 3/1996 uk.77-81 liliripoti kuwa "Kurudi kwa
 aibu kwa utumwa Afrika" ni jambo la ukandamizaji wenye kuvunja moyo.
 5.MUHAMMAD ALIVYOJITAJIRISHA KWA KUTEKA MISAFARA
 Muhammad pamoja na watu wake waliteka nyara misafara ya wafanya 
biashara na wasafiri mbalimbali. Bukhari juzuu ya 3 kitabu cha 37 sura 
ya 8 na.495 uk.280 inasema "wakati Allah alipomfanya mtume kuwa tajiri 
kutokanana na ushindi" 1/5 ya mateka ya vita iliwekwa katika hazina na 
Sahih Muslim juzuu ya 2 kitabu cha 5 sura ya 401 na.2348 uk.519 inasema 
familia ya Muhammad ilikuwa na hisa ndani yake. Utekaji nyara wa mali za
 watu wa kwanza kufanywa na Waislam ulijulikana kama Nakha la Raid. 
Wakati wa mwezi wa kusimamisha vita kwa muda, wafuasi wake 
waliushambulia msafara kwa kuuvamia na kuua mtu mmoja, na kuwafanya watu
 waliosalia kuwa watumwa, na kuchukua nyara. Muhammad mwenyewe aliongoza
 uvamizi wa pili pale Badr. Muhammad aliongeza utajiri wake kwa 
kuyashambulia makazi ya Wayahudi ya Khaibr. Yeye na wafuasi waliokuwa 
waaminifu kwake walijitwalia nyara na wake (Je Muhammad alihitaji mke 
mwingine?) wa Wayahudi wanaume 700-1000 wa kabila la Banu Quraiza 
waliowakata vichwa baada ya kujisalimisha.
 6.MUHAMMAD ALIVYOKUWA MTENDA MAOVU
 Wakati Biblia inasema Yesu alikuwa hana dhambi, hivi ndivyo Kuran na 
Bukhari Hadith zinavyosema kuhusu Muhammad. Katika sura 40:55 na 48:1-2,
 Allah anamwambia Muhammad kuomba msamaha kwa ajili ya dhambi zake (au 
udhaifu wake). Sasa, watu hawahitaji msamaha kwa ajili ya madhaifu ya 
miili bali maadili. Sahih Muslim juzuu ya 1 kitabu cha 4 sura ya 268 
na.1695 uk.373 inasema Muhammad aliomba, "Nilijikosea mwenyewe na 
kufanya toba ya dhambi zangu. Nisamehe dhambi zangu . . ." Bukhari juzuu
 ya 1 kitabu cha 2 sura ya 13 na.19 uk.23; juzuu ya 1.12.57 na.781 
uk.434; juzuu ya 6.60.3 na.3 uk.4; juzuu ya 8.75.3 na.319 uk.213; na 
juzuu ya 8.75.62 kabla ya na.407 uk.271 kabla ya kueleza dhambi za 
Muhammad. Mambo bayana yaliyoelezwa kwenye Bukhari juzuu ya 1.4.70 
na.234 uk.148; Bukhari juzuu ya 8.82.1 na.794-795 uk.520 ni kukata watu 
mikono na miguu, kuchoma macho yao, na kuwanyima maji hadi kufa baada ya
 kukatwa miguu na mikono. Angalia Bukhari juzuu ya 8.82.3 na.796 sura ya
 4 uk.797; Bukhari juzuu ya 6 sura ya 150 kabla ya na.198 uk.158-159 pia
 Fiqh us-Sunnah juzuu ya 1 uk.133.
 Bila shaka utakubali kwamba hizi 
ni dhambi nzito sana. Kwa vile Muhammad alifanya hivi, alihitaji sana 
msamaha. Swali la kidadisi ni hili: "Ni nani hasa anayelipa gharama ya 
dhambi zako?" Yesu alisema alilipa fidia ya dhambi zetu. Uislam 
haufundishi kuwa kuna mtu yeyote aliyelipa gharama. Je, dhambi zako 
zinalipwaje, au Allah anazifumbia macho baadhi ya dhambi na kuadhibu 
nyingine?? Watu wengine wanaweza kufikiri kuwa uovu hauna madhara yoyote
 ili mradi mtu anajiita Muislam. Katika karne hii Waislam wanawaua 
wakiristo na kufanya mauaji ya kinyama kwenye vijiji vyao katika nchi za
 Sudan, Nigeria na Indonesia. Wakati watu walioitwa wakristo waliwaua 
Waislam, watu walisema kuwa wanafanya kinyume cha tabia ya Kristo. 
Wakati Waislam wanawaua Wakristo, wanaomwabudu Mungu wa kweli, sijawahi 
kusikia mtu yeyote akisema wanafanya kinyume cha tabia ya Muhammad.
 
Ni haki kusema kuwa, mauaji ya watu wanaomwabudu Mungu yanayofanywa na 
Waislam lazima yaachwe. Waislam wanapohalalisha mauaji haya kwa sababu 
hata mtume wao alifanya hivyo, watu hushangazwa na mtume wao, na Allah 
wao ambaye anatengua neno lake, na chimbuko la Uislam.
 7.MASWALI YA KUJIULIZA:
 1.Je,waislam wanamwabudu mungu mwezi(Allah) bila kujua?
 2.Ni mtume gani wa Mungu aliyefanya uovu wa kutisha namna
 hiyo:Ubakaji,uharamia,ugaidi,na uovu wa kila namna?
 3.Waislam wanasema dini yao ni ya amani,ni amani ipi wakati wanafanya
 ugaidi,wanachoma makanisa?
 4.Je,waislam wanaelewa hatima yao kiroho?
 
 HII SI DINI YA KWELI,WAISLAM WALIIPOKEA BILA KUIJUA!
 
JE! MAFUNDISHO HAYA NDIYO MUNGU ALIMTUMA MUHAMAD AJE AYAFUNDISHE?
 
 Muhamad alifundisha mambo mengi sn kwenye uislam, lkn asilimia ya 
mafundisho yake yaliusu ngono, mauaji, uadui na usafi wa mwili tuu. 
Yafuatayo ni baadhi ya mafundisho ya Muhamad
 
 1.Unapotawadha unasamehewa dhambi zako: Kitabu, Mkweli mwaminifu uk wa 37 namba 52
 
 2.Mswaki unafadhila 70; uk wa 38 namba 56
 
 3.Ukioga siku ya ijumaa unasamehewa dhambi zako ,na ukitawadha wakati 
wa baridi sana unapata msamaha pia; uk wa 41 namba 66, 68 na 69
 
 4.Muhamad ameruhusu kuoa kwa mahali ya pesa ya kiatu; uk 201 na 453
 
 5.Ukimwita mkeo kwa haja ya kumwingilia aje hata km yuko jikoni 
anapika, aache kazi yake na atimize haja ya mumewe; uk 204 na 462
 
 6.Baina ya ladha ya utamu wa mwanamke na ladha ya mwanaume km alama ya 
uzi ktk matope. Wanapoingiliana wote wanaona utamu sawa, ila mwanamke 
hawezi kusema anaona aibu; uk 204 na 463-4
 
 7.Mwanamke na 
mwanaume wakitazamana kwa matamanio , ALLAH nae anawatazama kwa jicho la
 REHEMA na wanapoingiliana WANASAMEHEWA DHAMBI ZAO; UK 206 na 467
 
 8.Mwanamme na mwanamke wanapoingiliana wasitazamane tupu zao na wala 
wasiwe wanaongea sana kwani motOto atazaliwa kipofu au bubu. Uk 206 na 
468
 
 9.Kabla hujamwingilia mkeo lazima useme BISMILLAAH-RAHMAAN RAHIM…uk 207 na 470
 
 Rejea
 KITABU CHA MKWELI MWAMINIFU:
 
MUNGU ALISAHAU NINI MPAKA AMTUME MUHAMAD?
 
 Hili ni swali gumu na ni swali zito na tena naamin wapo watu ambao 
watachukizwa na swali hilo. Lakini hakuna njia nyingine, lzm watu wenye 
akili timamu tujiulize, kwann swali km hilo liulizwe? Baada ya kusoma 
Biblia na vitabu vya kiislam km Quran na hadithi, ndipo nilipoamua 
kujiuliza swali hilo.
 
 Hilo swali nimejiuliza baada ya kukutana 
na matendo baadhi aliyoyafanya Muhamad ktk maisha yake. Na hayo matendo 
ni km ifuatavyo......
 
 1)Muhamad
 saw alipokuwa ananyoa nywele zake alikuwa anawagawia watu ili wapate 
baraka kupitia hizo nywele. Na mke wake alikuwa anazitumia kuponyea 
wagonjwa wa homa, kwa kuzichovya kwenye maji kisha anawapa wanywe.
 
 2)Mohamed alijaza jasho lake kwenye chupa na akampa mtu 1 aliyekuja 
kwake kumtarifu anataka kumwoza binti yake, kwaiyo akampa jasho hilo km 
zawad kwa binti yake.
 
 3)Malik bin sinan alikunywa damu ya 
muhamad, na Muhamad aliposikia akawambia wafuasi wk, kwamba mkitaka 
kumwona mtu wa peponi mwangalieni Maliki maana amekunywa damu yangu. Na 
mtu akichanganya damu yake na yangu hatachomwa moto siku ya kiyama.
 
 4) Umma ainama, wkt anasafisha chumba cha muhamad alikutana na mkojo wa
 muhamad aliokojoa usiku kwenye chupa na kuunywa. Muhamad akamuuliza 
kwann umekunywa, akasema nlikuwa nakiu, muhamad akamwambia hutaumwa 
tumbo maisha yk yote.
 
 5)Muhamad alikuwa hatemi mate wala 
makohozi chini, bali alikuwa anatema kwenye viganja vya maswahaba wake, 
nao walikuwa wanajipaka mwilini ili wasichomwe moto siku ya kiyama
 
 6)Jibril alimletea muhamad chombo chenye chakula, muhamad baada ya kula
 hicho chakula akapewa nguvu za wanaume 40. Na ndio maana alikuwa 
akiwazungikia wake zake 11, mmoja baada ya mwingine na wote kutoshelezwa
 nae.
 
 7)Siku ya ashura muhamad alikuwa anawaita wanawake 
wanaonyonyesha na kutema mate vinywani mwa watoto wao, mchana mzima 
watoto hawanyonyi mpaka usiku.
 
 8)Muhamad alimuoa AISHA BINT 
ABUBAKAR ASSADIK akiwa na miaka 54 na Aisha akiwa na miaka 6 , kisha 
muhamad akamwingilia akiwa na miaka 57 na Aisha akiwa na miaka 9.
 
 Rejea vitabu vifuatavyo:
 Majibu kwa wasiokubali mtugaji ni sheikh muhamed bin ismail. Po box 
77415 Dar, uk 14-16. Kitabu cha historia ya Muhamad uk wa158, 
kimetafsiriwa na sheikh abdallah suleh farsy aliyekuwa kadhdi mkuu 
Mombasa Kenya, na ndiye aliyetafsiri Quran kwa lugha ya Kiswahili.
 
USHAHIDI WA KINA: KUHUSU MUHAMAD KUOA KATOTO KA MIAKA SITA (6).
 
 Prophet married Aisha when she was 6-years-old and consummated his marriage with her when she was 9. He was then, 54 years old.
 
 these are from islamic scriptures
 
 Sahih Muslim Book 008, Number 3310:
 'A'isha (Allah be pleased with her) reported: Allah's Apostle (may 
peace be upon him) married me when I was six years old, and I was 
admitted to his house when I was nine years old.
 
 Sahih Bukhari Volume 7, Book 62, Number 64
 Narrated 'Aisha:
 that the Prophet married her when she was six years old and he 
consummated his marriage when she was nine years old, and then she 
remained with him for nine years (i.e., till his death).
 
 Sahih Bukhari Volume 7, Book 62, Number 65
 Narrated 'Aisha:
 that the Prophet married her when she was six years old and he 
consummated his marriage when she was nine years old. Hisham said: I 
have been informed that 'Aisha remained with the Prophet for nine years 
(i.e. till his death).
 
 Sahih Bukhari Volume 7, Book 62, Number 88
 Narrated 'Ursa:
 The Prophet wrote the (marriage contract) with 'Aisha while she was six
 years old and consummated his marriage with her while she was nine 
years old and she remained with him for nine years (i.e. till his 
death).
 
 
 
          
      
 
  
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
Yah umejitahidi sana kueleza mapungufu makubwa ya uislam kwa mtazamo wako we we. Umesahau kuwa hata yesu alitumia mate take kuponya MTU upofu. Kuhusu swali lako unalosema Mungu alisahau mini hadi amtume Muhammad s.a.w jibu lake lipo ktika kitabu cha yohana 16:7-16. Mi naenda mstari 12. Hata bado nikali ninayo mengi ya kuwaambia lakini hamwezi kuyastahimili hivi sasa. 13 Lakini yeye atakapokuja huyo roho wa kweli atawaongoza awatie kwenye kweli tote.....endelea hadi mwisho kisha tafakari.
ReplyDelete