SABABU ZA KWA NINI MASHAHIDI WA YEHOVA NI WAPINGA KRISTO NA WANAABUDU mungu MWINGINE SIO MUNGU WA WAKRISTO.
Emmanuel Boaz
 SABABU ZA KWA NINI MASHAHIDI WA YEHOVA NI WAPINGA KRISTO NA WANAABUDU mungu MWINGINE SIO MUNGU WA WAKRISTO.
 1.Wanakana kwamba Mungu alifanyika mwili (incarnation) ...kinyume na Yoh 1:14;1Tim 3:16
 2.Wanakana Kifo mbadala cha Kristo kwa ondoleo la 
dhambi(substitutionary atonnement)..kinyume na aya hizi Math 20:28; Mark
 10:45.
 3.Wanakana fundisho la Utatu Mtakatifu...kinyume na Yoh 1:1-3; 1Yoh 5:8
 4.Wanakana Uungu wa Yesu na wanafundisha Yesu ni kiumbe si 
Muumbaji...kinyume na ya hizi Isaya 9:6; Tito 2:13;Kol 1:16-17; Yoh 
1:1-3
 5.Wanaamini kuwa wanakazi moja ya kubadili aya zote za Bible 
ili ziendane na kile wanachodai kuvuviwa!!!Hii ni kinyume na Gal 1:6-9; 
Uf 22:18,19.
 6. Wameunda bodi yao inayofasiri maandiko na mfuasi wao
 yeyote hatakiwi kupambanua jambo kinyume na tafsiri hizo!! Bodi hiyo 
inaitwa Watchtower Bible and Tract Society....na Biblia yao inaitwa New 
world Translation; ama Le monde neauval Tradiction en Francois. Yaani 
wana injili yao na Biblia yao, Mungu wao!!
 7.Wanakana "Umasihi" 
'Ukristo" wa Yesu....kwa hiyo hawa ndo wapinga Kristo hasa.1Yoh 4:3 kila
 roho isiyomkiri Yesu haitokani na Mungu.Hii ndiyo roho ya mpinga Kristo
 ambayo mmesikia kwamba yaja; na sasa imekwisha kuwako duniani.
 
8.1Yoh 2:22-23 Ni nani aliye mwongo ila yeye ya kuwa Yesu ni Kristo? 
Huyo ndiye mpinga Kristo,yeye amkanaye Baba na Mwana.Kila amkanaye Mwana
 hana Baba; amkiriye Mwana ana Baba.
 9.Mungu wa Wakristo anaitwa 
YHW---Yahwe na mungu wa Mashaidi anaitwa yehovah.Hii siyo proper 
pronounciation ya YHW ktk Kiebrania.Wao (Mashahisi) wanamkana Yahwe na 
wanamtambulisha yehovah!! Ni dhahiri kuwa wao wanaabudu mungu mwingine 
anayeitwa yehovah na ambaye hajawahi kufanyika mwili akaja akakaa pamoja
 nasi!
 NAONA NITAWACHOSHA KUSOMA NIISHIE HAPO; NAWATAKIA SAFARI NJEMA,MIMI MSAFIRI MWENZENU; MUNGU ATUBARIKI SOTE.
 
 
 
          
      
 
  
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
Hukumu ipo juu yako mwenyewe unaye toa ushahidi wa uongo juu ya ndugu zako.
ReplyDeleteHakika kila mtu atawachukia ninyi sababu co sehemu ya ulimwengu
ReplyDeleteYohana 15:17-19
ReplyDeleteSoma hapo na jibu utapata mwenyewe